Saturday, June 2, 2018

Mchezaji nyota wa manchester city vicent kompany ana hofia kuikosa michuano ya kombe la dunia.

Vicent company alitolewa nje ya uwanja kwa kupata majeraha kipindi cha kwanaza alipo kumbana na martinez katika mchezo wa kirafiki kati ya ubelgiji na ureno hapo jana.

Vicent kompany ni mchezaji anaye sumbuliwa na majeraha kwa mda mrefu kwa takribani misimu miwili hivi yanayo msababishia asionekane sana uwanjani.

0 comments:

Post a Comment