Aliye kuwa kocha msaaidizi namba mbili shadrack nsajigwa amejitoa rasmi kwenye benchi la ufundi la yanga.
Hii nikutokana na kushindwa kuhimili mikimiki ya kuleta furaha jangwani kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.
Nsajigwa mara kadhaa amebebewa mabango atolewe kwenye benchi na mashabiki wa yanga wakiwa uwanjani pale timu yao inapo fanya vibaya.
Mara baada ya kuona lawama zimezidi kutokana na klabu ya Yanga kutolewa nje ya mashindano ya sportpesa supercup na timu ndogo ya kakamega home boyz amejiondoa rasmi na hata ongeza mkataba na klabu hiyo.
Nsajigwa tangu enzi zake anacheza soka akiitumikia klabu hiyo yanga alionekana mzuri lakini alitia doa alipofanya makosa mechi ya watani wa jadi kwa kuruhusu kupingwa goli tano bila. Na alilaumiwa kwa kuuza mechi hiyo.
0 comments:
Post a Comment