Wednesday, July 18, 2018

Kuna maneno mengi yanaendelea mitandaoni yanayo endelea kuzungumzwa kutokana na kufutwa kwa video mpya ya billnas youtube na wengine wakimshutumu menejawake wa zamani petitman.

Lakini billnas anakanusha shutuma hizo anasema

"Sio mara ya kwanza watu kuitoa video yangu YouTube na sielewi kwanini wananifanyia hivyo maana mimi sio mtu wa kupiga views million 10"

Sijajua ni nani anafanya hivyo lakini sio petitman wakuache kama watu wanavyodai, mtu anayenifanyia hivi ni anataka kukwamishana maana hakuna kitu anachonufaika nacho baada ya kunifanyia hivyo" Majibu ya billnas

0 comments:

Post a Comment