Real Madrid wapo kwenye majadiliano na Chelsea ya kukamilisha usajili wa Eden Hazard na Thibaut Courtois kwa ada ya jumla ya kiasi cha £150m kwa ajili ya wachezaji hao wawili kutoka Stamford Bridge.
Courtois ambaye amebakiza miezi 11 kwenye mkataba wake na Chelsea, anasubiri Chelsea wamsajili mbadala wake kabla hajaruhusiwa kwenda Bernabeu, wakati uhamisho wa Hazard bado Madrid na Chelsea wanavutana kwenye bei.
Wawili hao wameng'ara vyema katika fainali za kombe la dunia. Courtois akichukua groves za dhahabu yaani kipa bora. Na hazard akiwa mchezaji bora wa pili.
0 comments:
Post a Comment