Kocha wa klabu ya Juventus Massimiliano Allegri ameahidi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Sossuolo mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo atacheza na katika mchezo huu lazima afunge goli.
Ronaldo bado hajatikisa nyavu akiwa na juventus mpaka sasa licha ya kupata nafasi ya kucheza.
Ikumbukwe msimu uliopita akiwa La liga na klabu ya Real madrid alianza msimu vibaya sana kwa kuwa na ukame wa magoli lakini mwishoni alimaliza katika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji.
0 comments:
Post a Comment