Everton wapo katika mazungumzo ya kina na Bordeaux kuhusu kunasa saini ya winga Malcom, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Sports.
Mwenyekiti wa Bordeaux anatarajiwa kutua Uingereza siku ya Alhamisi huku dili la Pauni Milioni 30 likiwa mezani pamoja na Bonasi.
Everton wamempa ofa ya mshahara wa Pauni 80,000 kwa wiki na mkataba wa miaka mitano Malcom.
0 comments:
Post a Comment