Wakati hatma ya Thibaut Courtois kuendelea kubaki darajani ikiwa bado haijafahamika, Chelsea wamekamilisha usajili wa golikipa Robert Green kwa kumsainisha mkataba wa mwaka 1 wa kuitumikia The Blues.
Green mwenye miaka 38, hakucheza mchezo hata mmoja msimu uliopita akiwa na Huddersfield ambao waliamua kumuacha.
0 comments:
Post a Comment