Wednesday, July 25, 2018

Kiungo Uhuru Selemani amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Biashara United ya mkoani Mara akitokea timu ya Royal Eagles ya Afrika Kusini ambako amemaliza mkataba.

Uhuru selemani ni moja kati ya viungo wa kongwe walio salia kwenye  soka kwa sasa. Alisha wahi itumikia simba miaka kadhaa iliyopita.

Akatimkia south africa bahati mbaya mambo haya kumu nyookea vizuri. Akitimkia msumbiji akarudi teba afrika kusini na sasa amerudi tena bongo kuendeleza kipaji chake.

0 comments:

Post a Comment