Manchester United imethibisha kuwa Dalley Blind anaondoka baada ya kuitumikia kwa miaka minne.
Blind anarejea nyumbani Ajax, United wanamrudisha Ajax kwa makubaliano ya ada ya awali kiasi cha £14.1m na ada hiyo inaweza kuongezeka hadi £18.5m.
Akiwa Old Trafford Blind ameichezea United mechi 90 za EPL lakini msimu uliopita alicheza katika michezo 7 tu, ameshinda mataji manne (EFL, FA, UEFA Europa League na Community Shield)
0 comments:
Post a Comment