Tuesday, July 17, 2018


Mbao Fc Imefanikiwa Kuinasa Saini ya Aliyekua Winga Wa Njombe Mji Fc, Raphael Siame.

Siame Amesaini Mkataba wa Kuichezea Mbao Fc kwa Miaka Miwili Kuanzia Msimu ujao.Huu ni mwendelezo Wa kukijenga kikosi cha Mbao fc chini ya Mapendekezo ya Kocha Amri "Stam" Said.

Karibu Sana Raphael siame
Kabla ya Ujio wa Siame,Mbao Fc imewasajili Emmanue Mtumbuka, Peter Mwangosi na Elias Zamfuko

0 comments:

Post a Comment