Atletico Madrid wamewasilisha ofa ya kutaka kupata saini ya Giovanni Simeone, mtoto wa kocha Diego Simeone , kwa mujibu wa taarifa kutoka Sport, nchini Hispania.
Ofa hiyo imeripotiwa kuwa Euro Milioni 40 lakini Fiorentina wameripotiwa kutaka zaidi ya hiyo.
0 comments:
Post a Comment