Crystal Palace na Southampton wanataka kumsajili kiungo wa Chelsea Danny Drinkwater, kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Mirror.
Drinkwater alijiunga na klabu hiyo ya Magharibi mwa London majira ya kiangazi yaliyopita kutoka Leicester lakini ameshindwa kupata nafasi kikosi cha kwanza.
Maurizio Sarri amempa Drinkwater nafasi ya kucheza katika mechi za Preseason lakini inaonekana kocha huyo yupo tayari kusikiliza ofa kwa kiungo huyo.
0 comments:
Post a Comment