faiza ally amesema kuwa Mzazi mwenzake mheshimiwa sugu atakuwa amelogwa vibaya kutokana na matendo na vitu ambayo amekuwa akiyafanya hivi karibuni.
Faiza ameongeza kuwa kipidi cha nyuma haikuwa hivyo na kwa sasa hayupo Normal Kabisa kwa jinsi anavyotoa mchango wa kumlea mtoto waliyepata nae.
0 comments:
Post a Comment