Thursday, July 26, 2018

macholevante.com wameripoti kuwa LevanteFC ya Hispania inataka kumsajili samata kama mbadala wa EmmanuelBoateng aliyeumia.

Levante wamepanga kuishawishi Genk kwa kiasi cha euro milioni 4, kama dili hilo likikamilika Samatta atacheza LaLiga na Messi .

0 comments:

Post a Comment