Kaimu Katibu Mkuu mpya wa Yanga, Omari Kaaya ametangaza kufanya maajabu ndani ya saa 48 zijazo kwa kuirejesha klabu hiyo katika hali ya utulivu.
Kauli ya Kaaya imekuja kutokana na Yanga kulazimika kufanya usajili wa wachezaji wake ndani saa 48 kabla ya kufungwa dirisha la usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kaaya alitangazwa jana kujaza nafasi ya Charles Mkwasa, aliyetangaza kujiuzulu wadhifa wake kwa sababu za afya.
0 comments:
Post a Comment