Tuesday, July 24, 2018

Kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji na Bodi ya wadhamini, kimemteua na kumtangaza Omari Kaaya kuwa kaimu Katibu Mkuu katika kipindi cha mpito baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu Charles Boniface Mkwasa kujiuzulu nafasi.

Kabla ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu, Kaaya alikuwa afisa masoko wa Yanga.

0 comments:

Post a Comment