Mshambuliaji wa Zamani wa Kimataifa wa Ufaransa na Klabu ya Arsenal, Thierry Henry atajwa kuwa Kocha mpya wa klabu ya Aston Villa.
Kwa sasa Henry ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya ubelgiji. Ameiongonza timu hiyo kuibuka washindi wa tatu katika fainali za kombe la dunia.
Awali Henry alihudumu katika klabu ya vijana ya arsenal kabla ya kutimkia kituo cha runinga Sky sport.
0 comments:
Post a Comment