Shabiki mwandamizi na mwenyekiti wa baraza la wazee yanga akilimali ameibuka na kumshauri msemaji wa klabu ya simba haji manara.
Akilimali. "Unajua huyu Mdogo wangu Nadhani Hajaitambua ligi vizuri Na mshauri vizuri tuu."
"Kwa Sababu siwezi kumtania ni vema Akajua mpira Una Matokeo Matatu. namuomba Apunguze Tambo kwa Timu yake na Atambue si kila Mchezo unaweza kushinda"
Maneno hayo ameyatoa ilikutuliza vijembe vya haji manara kwa yanga.
0 comments:
Post a Comment