Sunday, September 16, 2018

Ingawa inter Miami haita shiriki ligi kuu ya ya marekani (MLS) mpaka 2020, mmiliki David Beckham anandoto za kumsajili lionel messi wa barcelona.

Kwa mjibu wa gazeti la The Times,  Beckham anataka kumchukua muajetina huyo ndani ya miaka miwili akiwa na miaka 33 na amebakisha mwaka mmoja kumaliza mkhataba wake utakao mruhusu achague kuondoka au kubaki.

0 comments:

Post a Comment