Sunday, September 16, 2018

Meya wa Jiji la Tanga, Alhaj Mustapha Selebosi ameahidi kumpatia kiwanja bondia Hassan Mwakinyo kama zawadi baada ya ushindi wake katika pambano la masumbwi la Uzani wa Kati dhidi ya bondia Sam Eggington wa Uingereza.

Mwakinyo amepata fursa ya kulala katika hoteli ya kitalii ya Tanga Beach aliyolipiwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga baada ya mapokezi yake leo hii.

0 comments:

Post a Comment