Monday, September 17, 2018

Mshambuliaji wa simbasctanzania Meddie Kagere ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Agosti wa Tanzania Premier League 2018/2019.

Kagere alifunga magoli matatu katika mechi mbili zilizo chezwa agosti. Alofunga goli moja dhidi ya tanzania prison na magoli mawili dhidi ya mbeya city yote ndani ya uwanja wa taifa.

Kagere amewashinda Joseph Mahundi (Azam FC) na Ompar Mponda wa kagera sugar

0 comments:

Post a Comment