Wednesday, November 21, 2018

Klabu ya Singida United imefanikiwa kunasa saini ya streka Dauda B ambaye anauraia pacha yaani LIBERIA na NORWAY.

Streka huyo ni moja ya mkakati wa wanaalizeti hao kujiimarisha kwa kipindi hiki kidogo ili kurejesha makali yao.

Singida United inayoendelea na kampeni yake ya MAKE SINGIDA UNITED GREAT AGAIN inategemea kushusha vifaaa vingine ndani ya dirisha hili dogo ili kuimarisha nafasi mbalimbali ambazo

0 comments:

Post a Comment