Aliye kuwa kocha wa chelsea Conte anamekataa kufanya mazungumzo na chelsea meza moja.
Badala yake amepanga kuwafikisha Mahakamani kwa kudai kila stahiki zake za mshahara kwa mjibu wa mkhataba ulio kuwa umesalia.
Conte amepiga chini dili la kuifundisha Real Madrid hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ambazo hakuziweka wazi.
0 comments:
Post a Comment