Didier Drogba ametangaza kuachana na maisha ya soka huku akiwa na lundo la medani alizo kusanya kupitia kabumbu.
Drogba ambae pia ni miongoni mwa wamiliki wa klabu ya Phoenix Lising anastahafu kucheza mpira akiwa na umri wa miaka 40
Drogba atakumbukwa kwa mengi lakini hasa ni uwezo wake wa kucheka na nyavu.
1x Champions League
4x Premier League
4x FA Cup
3x League Cup
2x Community Shield
2x Golden Boot
1x Süper Lig
1x Turkish Cup
1x Turkish Super Cup
2x African POTY
1x Turkish POTY
0 comments:
Post a Comment