Mshambuliaji wa Atletico madrid amefunguka mengi kuhusina na tetesi zake za kutua barcelona dirisha lililopita la kiangazi.
Antoine Griezmann amesema "ilikuwa vigumu kukataa ofa ya kujiunga na barcelona , lakini na washukuru ushirikiano nilio upata kutoka kwa Atletico madrid wa kunibakiza hapa"
Staa huyo wa kifaransa alihusishwa sana na kutua Camp Nou lakini alifanya maamuzi magumu ya kusalia Atletico Madrid.
Griezmann mwenye miaka 27 thamani yake ilifika maka paundi millioni €100 sawa na dola $116 million ili atue catalunya.
0 comments:
Post a Comment