Ac milan imeonesha nia ya kumhitaji kiungo wa chealsea mhispania Fabrigas anayeonekana kutoendana na mfumo wa kocha sari.
Ujio wa Joginho kutoka napoli umemkosesha nafasi kabisa ya kuanza ndani ya kikosi cha chelsea.
Pia uwepo wa rose barkely kama kiungo msaidizi akitokea benchi mara kadhaa kumemnyima nafasi ya kuwepo hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.
Endapo Ac milan wataenda na dau la kuvutia basi fabrigas anaweza kubali kujiunga na klabu hiyo kongwe iliyo katika hali mbaya kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment