Mshambuliaji wa Manchester United na timu ya Taifa ya Ufaransa Anthony Martial amejumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa kitakachocheza mechi mbili mwezi huu ikiwemo mechi ya michuano ya ya mataifa ya Ulaya UEFA Nations League pamoja na mechi ya kirafiki.
Novemba 16, Ufaransa watakutana na Uholanzi Katika mechi ya michuano ya mataifa ya Ulaya UEFA Nations League katika Raundi ya tano na baadaye Novemba 20 watakutana na Uruguay katika mechi ya kirafiki.
0 comments:
Post a Comment