Thursday, November 8, 2018

Katika hali ya kushangaza uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya ulikuwa haujawekwa michoro yoyote hadi muda wa mechi unafika (Saa 10:00 jioni).

Hali iliyosababisha kamishna wa mchezo kushindwa kuruhusu mchezo ili zoezi la kuweka michoro maalum uwanjani lifanyike.

Zoezi hilo lililofanywa na vijana wa kuokota mipira limekamilika na sasa mchezo unaanza ukiwa umechelewa kwa takriban dakika 20.

0 comments:

Post a Comment