Kiungo wa machester united amefunguka na kusema kurudi kwake nyumbani manchester united ilikuwa furaha sana.
Pogba alirejea man utd baada ya kuondoka takribani miaka minne nyuma bure. Ila alirudi kwa kuvunja rekodi.
Alinunuliwa kwa €89.3m na kuweka rekodi ya mchezaji ghali kwa kipindi kile 2016 akitokea juventus.
Pogba amekuwa akihusishwa na kutaka kutimka klabuni hapo kutokana kutokuwa na mahusiano mazuri na kocha wake jose mourinho. Barcelona wamehusishwa katika kumuwinda kiungo huyo.
Hata hivyo meneja wake Minora aliweka wazi kwa sasa pogba ana mahusiano mazuri na kocha wake na hana tatizo na mtu , maisha ni ya furaha sana saizi
0 comments:
Post a Comment