Tuesday, November 13, 2018

Mchezaji mkongwe mkali wa kusakata kabumbu wa nchini argentina maradona amefanya mahojiano na gazetti la marca na amefunguka mengi.

Maradona ametabiri kuwakocha wa sasa muargentina mwezake wa real madrid Santiago sorali atatimuliwa siyo mda mrefu kwasababu anakosa ushirikiano mzuri.

Maradona amefunguka na kumsifia cristian ronaldo kuondoka real madrid kwa sababu anewapa kila kitu na hakuna haja ya kubakia pale.

Pia amezungumza kwa kusema " hiyo ipo wazi real madrid wana mkumbuka sana, kwa sababu wapo katika kipindi hiki kigumu"

Alipo hojiwa kuhusu kufundisha uhispania alijibu "nipo tayari kufundisha real madrid ila inabidi nika jifunze mbinu kutoka kwa jose mourinho pale manchester united , mnipe mda"

"ila kwa sasa nipo dorados na nina furaha"

Pia aliongeza kwa kuwa yeye anamkubali sana jose mourinho kuliko pep guardiola.

0 comments:

Post a Comment