Mchezaji wa manchester united ameondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakao ikabili manchester city leo katika uwanja wa Etihad.
Pogba alikumbwa na majeruhi katika mechi ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya juventus.
Jeraha lake halikuonekana kuwa kubwa sana lakini kadri ya mda unavyo dhidi kwenda limereta madhala ya kushindwa kufanya mazoezi na timu yake kwa takribani siku mbili.
Katika hatua nyingine mshambuliaji Romelu rukaku anatarajiwa kurejea hii leo baada ya kukosekana kwa mda wa wiki mbili hivi kutokana na majeraha.
0 comments:
Post a Comment