Klabu ya kmc fc leo imetanganza rasmi kuachana na mchezaji wake anayecheza nafasi ya ulinzi HUMUD kutokana na utovu wa nidhamu.
Humud anadaiwa kuwasumbua sana wake wa wachezaji wenzake wa klabu ndani ya klabu ya kmc fc
Pia katika mchezo wao na coastal union Humud aliacha vifaa vya mchezo dar es salaam timu iliposafiri kwenda jijini tanga katika uwanja wa mkwakwani.
Kocha alipokea malalamiko hayo kutoka kwa wachezaji wenzake na alipo sibitisha makosa hayo alimsimamisha Humud kwa mda.
Adhabu ilipoelekea kuisha na klabu inapojiandaa kumwandikia barua ya kurejea kikosini .Humud aliandika barua ya kuomba kuachwa na klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment