Wednesday, November 7, 2018

Wachezaji wa nne inasemekana hawa kuhudhuria mazoezi ya yanga jana katika uwanja wa police dar es salaam.

Wachezaji hao ni ibrahim ajibu, vicent Andrew, mrisho Ngasa na matheo Antony.

Na bado sababu hazija julikana. Kwa upande wa kocha Mwinyi zahera amechukizwa na tabia hiyo na ameahidi kulifanyia kazi.

Mwinyi ame wa asa wachezaji kucheza kwa kujitoa kwa sababu hali ya timu kiuchumi inajulikana.

Na zimesalia siku tatu dirisha dogo la usajili lifunguliwe ligi kuu Tanzania bara.

0 comments:

Post a Comment