AC Milan wanafikiria kumrejesha straika wao wa zamani Alexandre Pato kama wakishindwa kumshawishi Zlatan Ibrahimovic kurejea San Siro kwa mujibu wa taarifa kutoka Calciomercato.
Pato amerejesha kiwango chake nchini China katika klabu ya Tianjin Quanjian na The Rossoneri huenda wakajaribu kumsajili tena kama mpango wao wa kupata huduma ya Ibrahimovic kwa mkopo kutoka klabu ya MLS utagonga mwamba.
0 comments:
Post a Comment