#BreakingNews Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amemvua kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani na kumteua Ibrahim Ajibu kuwa nahodha mpya wa kikosi cha timu hiyo.
Zahera amesema amesema amechukua uamuzi huo baada ya Kelvin kuonesha utovu wa nidhamu kwa kuchelewa kuripoti mazoezini baada ya siku tano za mapumziko alizowapa wachezaji wote kumalizika.
0 comments:
Post a Comment