Wednesday, November 13, 2019

Shilikisho la soka ulimwenguni hii leo lime thibitisha kumteua mzee Arsene Wenger  mkurugenzi wa maendeleo ya soka duniani ( FIFA's chief of global football development ). hii itahusisha kwa soka la wanawake na wanaume wote.

Wenger alihusishwa na kuchukua mikoba ya kovac ndani ya klabu ya bayern munich lakini tetesi hizo zilikanushwa vikali na  mmoja wa viongozi wa kubwa ndani ya
klabu.

0 comments:

Post a Comment