Kiungo mshambuliaji wa manchester cuty na ureno Bernardo Silva amefungiwa kutocheza mchezo mmoja wa ligi kuu na faini ya paund milioni 50,000 na chama cha soka cha england FA kufutia kufanya kitendo cha ubaguzi wa rangi.
Silva alimfanyia kitendo hicho mchezaji mwenzie Mendy kupitia ukurasa wake wa tweeter alipo ali chapisha kibonzo kama utani kwa mendy.
0 comments:
Post a Comment