Nyota wa Monaco Thomas Lemar anapendelea kwenda Liverpool kuliko Arsenal dirisha la uhamisho wa Januari kwa mujibu wa The Independent .
Arsenal walishindwa kukamilisha dili la £90 milioni kwa ajili ya Lemar majira ya joto na inaaminika wanajipanga upya kumsajili winga huyo uhamisho wa Januari, Chelsea nao wakionyesha nia kumsajili.
0 comments:
Post a Comment