Thursday, December 28, 2017

Juventus wameipiga chini ofa ya manchester united ya €79m pamoja na kupewa mkhtariyn kwa ajili ya paul Dybala.

Gazeti la the sun la nchini itali lime ripoti kuwa miamba hiyo ya serea A wanataka mkwanja sawa na ule walio wekeza kwa griezmann €100m.

0 comments:

Post a Comment