Monday, June 4, 2018

Kiungo kutoka Liverpool  Emre Can amekubali mkataba wa miaka minne na Juventus kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Italia.

Imearifiwa hivi punde kwamba Kiungo huyo wa Kimataifa wa Ujerumani atafanya vipimo na mabingwa wa Serie A  katika siku chache zijazo.

Can alianza kuhusishwa na taarifa za kujiunga na wababe hao wa italy toka  msimu umeanza kutokana na kuto kuendana na mfumo wa kocha jurgen klopp.

0 comments:

Post a Comment