Monday, July 23, 2018

Care music ni kundi linalo undwa na vijana wa wili ni chipukizi katika game hili la muziiki wenye njaa ya mafanikio.

Bado hawajapata uongonzi kamili kwa jitihada zao wameachia ngoma mpya walio mshirikisha mwimbaji chipuki mwenye kipaji cha pekee masoud mbaruku maarufu kwa jina chudifather

  CARE MUSIC Ft chudifather ▶️ boma ngai (audio)

Bofya katikati kusikiliza (stream)

⬇️⬇️DOWNLOAD ⬇️⬇️
http://mdundo.com/song/1022896

0 comments:

Post a Comment