Wednesday, July 25, 2018

Beki mshambuliaji (wing back) hassan kesy ameshindwa kumalizana na timu yake ya Yanga mara baada ya mkhataba wake kuisha.

"Nimeamua kutafuta timu nje ya nchi baada ya kushindwa kuelewana na Yanga, niliwapa kipaumbele lakini nikaona hawaeleweki, nisingeweza kucheza katika timu hiyo kwa kuwa sikuwa na mkataba na muda wa usajili unakwenda ukingoni" Hassan Kessy

Inasemekana kuna timu ya congo ameshaanza nayo mazungumuzo ya kuitumikia klabu hiyo.

0 comments:

Post a Comment