Tuesday, July 24, 2018

Wakati Bongo tukitoka kushuhudia sakata la usajili wa Feisal Salum Abdallah ambaye alisajili Singida United asubuhi na kwenda kutambulishwa Yanga jioni ya siku hiyo hiyo.

Barani ulaya, jana mchana vilabu vya Bordeaux na AS Roma vilikubaliana ada ya  uhamisho ya €38m kwa ajili ya usajili wa winga wa kibrazil Malcom.

Masaa kadhaa baadae FC Barcelona wakaingia kwenye mawasiliano na upande wa mchezaji na kisha wakakubaliana maslahi binafsi

Leo asubuhi zimetoka taarifa kwamba AS Roma na FC Barcelona wamekubaliana ada ya uhamisho ya kiasi cha €41m kumsajili Winga.

0 comments:

Post a Comment