Tuesday, July 24, 2018

Klabu ya yanga leo hii imethibitishwa kumsajili beki kisiki ELISHA MORIOWA katika orodha yao kwa makubaliano rasmi na klabu ya singida united.

Rais wa singida united mwigulu nchemba ndiye aliye ridhia hili kutokana na hali tete inayo ikumba yanga kwa sasa ya kiuchumi. Ameamuwa kuwapa bure Elisha lakini kwa masharti apewe nafasi ya kucheza.

Mwigulu ni shabiki kindaki ndaki wa yanga hivyo amefanya hivyo kama kuonesha mchango wake kwa klabu hiyo ingawa hana kadi ya wanachama.

Sasa mwigulu anakuwa amekamilisha idadi ya wachezaji wawili alio wapa yanga bure ilakwa masharti ya kuwapa nafasi kikosi cha kwanza.

0 comments:

Post a Comment