Exequiel Palacios atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na klabu ya real madrid katika dirisha dogo la usajili majira haya ya baridi.
Makubaliano yamesha fanyika baina ya club ya River plate na kiungo huyo , na inshu nzima ita tanganzwa baada ya fainali ya Copa libertadores.
Kiungo huyo ameanza kucheza ligi kuu ya argentina akiwa na miaka 17 na sasa ana miaka 20 ila bado haja fikisha idadi ya michezo 50. Na kwa sasa ni mhimili mkubwa katika klabu ya liver plate.
Real madrid anaweza pata upinzani mkubwa kutoka kwa klabu tajiri kama manchester city na paris sant german.
Lengo la real madrid ni kuwekeza katika soka la vijana wadogo wenye vipaji , na kuacha kusajili mastaa tuu ili kulinda heshima ya klabu kwa kutengeneza wachezaji wazuri kwa siku za usoni.
0 comments:
Post a Comment