MLS : BYE BYE ZLATANI , AHAMIA KUTAZAMA BASEBALL.
Mshambuliaji wa La Galaxy ya marekani Zlatan ibrahimovic ametangaza rasmi kuchana na klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu marekani maarufu kwa jina la MLS:
Zlatan Amedumu kwa miaka miwili nchini humo akiitumikia lA Galaxy. Zlatan ametangaza kuondoka kwakwe kupitia ukurasa wake wa instagram @iamzlatanibrahimovic .
TAKWIMU ZA ZLATAN NDANI YA MLS:
Miaka . 2
Michezo. 58
Magoli : 53
Assist : 14
Kadi 💡: 13
Kadi ♦️: 1
NB: Zlatan ameweka wazi kwa sasa anaenda kutazama mchezo wa baseball😀.
0 comments:
Post a Comment