Monday, June 4, 2018

Golikipa wa timu ya taifa ya Misri Essam El-Hadary mwenye umri wa miaka 45 atakuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kucheza kwenye michuano ya kombe la dunia.

Kipa huyo ameisaidia misri kutinga kutinga fainali za africon mwaka jana lakini kwa bahati mbaya walipoteza mbele ya cameroon.

0 comments:

Post a Comment