Monday, June 4, 2018

Moja ya tuzo zinazoheshimika kwenye Industry ya Mziki Africa, MTVMAMA kurudi kwa mara nyingine mwaka huu.

Tuzo hizo zinazoandaliwa na kituo cha kimataifa cha MtvBaseAfrica, zilisitishwa kwa muda ili kuwapa muda waandaaji kuziboresha ili kufikia matarajio  ya wadhamini wake.

Kwa mujibu wa mkurugenzu wa Mawasiliano Fatima Beckmann, ni kuwa kuna Categories zaidi ya Nne (4) mpya ambazo zitaongezwa ili kuzipa tuzo hizi sura mpya na chachu kwenye ulimwengu wa burudani Africa.

Huku MTVMAMA ya  mwaka huu, Itazingatia kunominate Wasanii na Nyimbo zilizofanya vizuri hasa kwa 2016/2017.

Written by @Advocate.Fi

0 comments:

Post a Comment