Friday, July 20, 2018

Dili la Hassan Dilunga Simba Sc huenda likakwama kutokana na kilichodaiwa kuwa uongozi wa Mtibwa Sugar kuhitaji dau la milioni 50 ili kuvunja mkataba wa mwaka mmoja alioubakiza kunako klabu hiyo.

Habari ambazo mshindo News imezipata mpaka sasa ni kuwa kiungo huyo licha ya kusaini mkataba wa awali na Simba Sc bado anaendelea na mazoezi na klabu yake ya Mtibwa Sugar tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.

0 comments:

Post a Comment