Saturday, December 15, 2018

MACHACHE YA KOCHA MWINYI ZAHERA WA YANGA KUELEKEA MCHEZO WA KESHO DHIDI YA RUVU SHOOTING.

"Tumejiandaa vyema kuwakabili maana Ruvu Shooting sio timu ndogo na ina uzoefu wakutosha kwenye ligi kuu,wachezaji wangu wote walio kambini wapo sawa kuelekea mchezo wetu wa kesho"

"Kuna baadhi ya wachezaji watakosa mchezo wa kesho kwa matatizo mbali mbali Kamusoko na Raohael Daudi wote hawa ni majeruhi na  Mrisho Ngasa yeye bado anatumikia adhabu yake ya kadi Nyekundu,Yondani ana kadi tatu za njano"

"Ajibu baada ya kukosa mchezo uliopita atakuwa sehemu ya mchezo wa kesho pamoja na mchezji mmoja Gustavo toka kwenye kikosi chetu cha u20 pia atakuwa sehemu ya mchezo wa kesho." (Mwinyi zahera)

0 comments:

Post a Comment